Language:  English  Français  Español 
Log in or Join us

Lost your login?

Join the community

Are you a consultant?
Find out how you can benefit from consultant membership
French
Spanish
Portuguese
German

Ramani ya Matokeo: Kwa Ufuatiliaji na Upimaji wa Mipango ya Miradi

Julius Nyangaga, Fridah Munyi, Elinasi Monga, and the Salvation Army

Summary: Ramani ya kupanga na kupima wa matokeo ni mwongozo wa uandaliaji na utekelezaji wa mradi unaotumia mabadiliko yaliyolengwa kwa wadau kushawishiwa na programu katika mchakato wa kufanya kazi kuelekea lengo linalohitajika. Lengo kuu la programu linategemea jinsi watu mbalimbali wasiowahusika moja kwa moja kwenye utekelezaji wa mradi (wahusika wa kijamii) wanavyoitikia shughuli za utekelezaji wa mradi ili kufanikisha kufikiwa lengo la mradi.

Ni mbinu ya upangaji ambayo ina miongozo ya jinsi maendeleo na mafanikio ya mradi yanavyoweza kufatiliwa na kutathiminiwa. Mwongozo huu unaelekeza jinsi warsha hiyo inaweza kutekelezwa na umetengenezwa kutokana na mwongozo wa awali uliotayarishwa na Sarah Earl, Fred Carden na Terry Smutylo, uliopewa jina la mfumo wa upimaji matokeo; Kuimarisha dhana ya kujifunza na Kutafakari katika Mipango ya Maendeleo, iliyochapishwa na IDRC mwaka wa 2001. Mwongozo huu pia umejumuisha uzoefu wa wadau wengine katika shughuli za upimaji na ufuatiliaji wa matokeo ya miradi ili kuboresha mwongozo huu.

Type: OM Training Materials

Theme: OM Resources: Training Materials

Contibuted by: Julius Nyangaga, on: 8 Sep 2023

Downloads: 38

Download resource (pdf 1720 KB)

Latin America & Carribean Sub-Saharan Africa North Africa & Middle East South Asia South East Asia & Pacific Far-East Asia Eastern Europe & CIS (ex USSR) Western Europe North America & Canada Australasia